| WK |
L |
MADA |
KIPINDI |
MATOKEO MAALUM TARAJIWA |
SHUGHULI ZA MAFUNZO |
MASWALI DADISI |
NYENZO |
TATHMINI |
MAONI |
| 1 |
|
MARUDIO Mada mbalimbali Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuyakumbuka aliyoyapitia katika gredi ya TANO ili kujitayarisha kwa kazi mpya – Kuuliza na kujibu maswali ya kauli na ya kimaandishi. Karatasi za mitihani iliyopita -Kujaza mapengo |
|
| |
|
VIUNGO VYA MWILI |
|
| 2 |
1 |
Kusikiliza na kuzungumza |
Matamshi Bora:
-Silabi
Sauti: d/nd ch/sh
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno
-kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi
|
Mwanafunzi:
atambue silabi za sauti, d/nd, ch/sh, (k.v. doa/ndoa, choka/shoka,) kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kidigitali
-atamke silabi za sauti lengwa akiwa peke yake, wakiwa wawiliwawili au katika kikundi |
Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd, ch/sh?
|
Timothy Arege na wengine(2022) –Kiswahili Sahili kitabu cha wanafunzi– 6 uk.1-3
-Muongozo wa mwalimu uk.1-4
– Vifaa vya kidijitali
– Kapu maneno |
-Maswali ya kauli
– Kutambua k.m. kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno
|
|
| |
2 |
Kusikiliza na kuzungumza |
Sauti: j/nj g/ng |
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno
-kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi
|
Mwanafunzi:
atambue silabi za sauti – j/nj na g/ng kama vile jaa/njaa, Ngoma/ngoma
– asikilize silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidigitali (k.v. kinasasauti)
-atamke silabi za sauti lengwa akiwa peke yake, wakiwa wawiliwawili au katika kikundi |
Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti –j/nj na g/ng?
|
Kiswahili Sahili kitabu cha wanafunzi– 6 uk. 1
-Muongozo wa mwalimu uk.1-4
-vifaa vya kijiditali
-kapu maneno
|
-Maswali ya kauli
– Kutambua k.m. kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno
|
|
| 3 |
Kusikiliza na kuzungumza |
Vitanza ndimi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:-
-kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi bora |
Mwanafunzi:
-asikilize vitanzandimi vinavyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa (k.v. Mkunjo ulikunjwa na waja wenye njaa kukicha) |
Je, Unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd, h/sh,? |
kitabu cha wanafunzi– 6 uk. 1
-Muongozo wa mwalimu uk.1-4
-vifaa vya kijiditali |
-Maswali ya kauli
– Kutambua k.m. kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno
|
|
| 4 |
Kusikiliza na kuzungumza |
Vitanza ndimi |
-kuunda vitanzandimi vyenye maana kutokana na silabi za sauti lengwa ili kukuza ubunifu -kuchangamkia kukariri vitanzandimi
vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi.
|
Mwanafunzi:
-aunde vitanzandimi vinavyotokana na vitate husika akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi
-awasilishe vitanzandimi alivyounda darasani ili wenzake wamtolee maoni
-ashiriki katika kutoa maoni kuhusu vitanzandimi vya wenzake kwa upendo na heshima |
Je, Unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti-, j/nj na g/ng? |
Kiswahili Sahili kitabu cha wanafunzi– 6 uk. 1
-Muongozo wa mwalimu uk.1-4
-vifaa vya kijiditali
-kapu maneno
-uhusika wa wanafunzi |
-Maswali ya kauli
– Kutambua k.m. kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno
|
|
| 3 |
1 |
–Kusoma |
Ufahamu:
Kifungu cha Hadithi
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu
-kueleza maana ya msamiati lengwa ili kuubainisha
-kusoma kifungu cha hadithi akizingatia ujumbe |
Mwanafunzi: -atambue viungo vya mwili vya ndani (k.v. moyo, mapafu, ini, kibofu, wengu, figo, ubongo, mifupa na mishipa) kutokana na
picha, chati au kwenye tarakilishi
-aeleze maana za msamiati alioutambua
asome kifungu kuhusu suala lengwa kwenye kitabu akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi
|
-Unazingatia nini unaposoma kifungu cha hadithi?
-Kusoma kuhusu viungo vya mwili vya ndani kuna umuhimu gani?
|
Kiswahili Sahili kitabu cha wanafunzi– 6 uk.
-Muongozo wa mwalimu uk.
-kifungu cha hadithi kitabuni
-michoro ya |
-Kutunga sentensi
-kuuliza na kujibu maswali ya kauli
-zoezi la kimaandishi |
|
| |
2 |
–Kusoma |
Ufahamu:
Kifungu cha Hadithi
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanfunzi aweze:
-kusoma kifungu cha hadithi akizingatia ujumbe
-kuonyesha ufahamu wa kifungu kwa kujibu maswali na kutoa muhtasari
-kuchangamkia usomaji ili kuimarisha ufahamu. |
Mwanafunzi:
-asome kifungu cha hadithi
-ajibu maswali kutokana na kifungu husika
atoe muhtasari wa kifungu alichosoma
-atunge sentensi akitumia msamiati wa suala lengwa uliotumiwa katika kifungu, akiwa peke yake, wawiliwawili au kikundi |
-Ni hadithi gani umewahi kuisoma kuhusu viungo vya mwili vya ndani?
|
kitabu cha wanafunzi uk. 7
-Muongozo wa mwalimu uk.6 |
-Kutunga sentensi
-kuuliza na kujibu maswali ya kauli
-zoezi la kimaandishi |
|
| |
3 |
KUANDIKA
|
Insha: Insha ya Wasifu
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanfunzi aweze: -kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kuzingatia mada ili kukuza ubunifu
. |
-asome vielelezo vya insha ya wasifu vilivyoandikwa katika matini mbalimbali au tarakilishi huku akitambua maudhui
-ashirikiane na wenzake kujadili mada na muundo wa insha ya wasifu
-akishirikiane na wenzake katika vikundi ili kubainisha na kujadili vidokezo vifaavyo vya mada lengwa
-ajadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kurejelea mada |
-ni kipi cha kuzingatia katika uandishi wa insha? |
kitabu cha wanafunzi uk. 9
-Muongozo wa mwalimu uk6
– Maelezo ubaoni
-Vifaa vya kidijitali |
-Kuandika tungo mbalimbali -Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
| |
4 |
KUADIKA
|
Insha: Insha ya Wasifu
|
-kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri
-kuchangamkia utunzi wa
insha ya wasifu ili kujenga ubunifu |
-aonyeshe ubunifu kwa kuandika insha ya wasifu isiyopungua maneno 200 inayohusu mada lengwa kwa kuzingatia, anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, kanuni za kisarufi na kwa lugha ya kiubunifu
-awasomee wenzake insha aliyoandika ili kumpa motisha kuandika zaidi. |
In yatakikana iwe na mpangilio upi? |
kitabu cha wanafunzi uk. 9
-Muongozo wa mwalimu uk.7-13
– Maelezo ubaoni
-Vifaa vya kidijitali |
-Kuandika tungo mbalimbali -Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
| 4 |
1 |
SARUFI |
Aina za Maneno:
Vivumishi vya Sifa
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanfunzi aweze
: -kueleza maana ya vivumishi vya sifa ili kuvitofautisha na aina zingine za maneno
|
Mwanafunzi:
-aeleze maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu au watu katika mazingira yake (k.m.: Mwalimu mzuri, njia ndefu, kijiko kichafu)
-atunge sentensi akitumia vivumishi vya sifa |
Ni maneno gani unayotumia kuelezea sifa za watu au kitu?
|
kitabu cha wanafunzi uk.
-Muongozo wa mwalimu uk.7-13 |
-Kutambua k.m. kwenye orodha –Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo |
|
| 2 |
SARUFI |
Aina za Maneno:
Vivumishi vya Sifa
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kutambua vivumishi vya sifa katika matini mbalimbali ili kuvibainisha
-kutumia vivumishi vya sifa kutunga
sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi |
Mwanafunzi:
-atambue vivumishi vya sifa (k.v. – zuri, -baya, -refu, -fupi, -ekundu, hodari) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
-atambue vivumishi vya sifa katika sentensi |
Ni maneno gani unayotumia kuelezea sifa za watu au kitu?
|
kitabu cha wanafunzi uk.
-Muongozo wa mwalimu uk.7-13
-kapu maneno
-vifaa vya kidijitali
-zoezi kitabuni |
-Kutambua k.m. kwenye orodha –Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo |
|
| 3 |
SARUFI |
Aina za Maneno:
Vivumishi vya Sifa
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kutambua vivumishi vya sifa katika matini mbalimbali ili kuvibainisha
-kutumia vivumishi vya sifa kutunga
sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi
-kufurahia kutumia vivumishi vya sifa katika sentensi au vifungu vya maneno. |
-atambue vivumishi vya sifa katika kifungu
-aandike sentensi kwa usahihi akitumia vivumishi lengwa akiwa peke yake au katika kikundi
-ajaze mapengo kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa kwenye daftari au kwenye tarakilishi. |
Je unaweza kuvitambua vivumishi vya sifa katika vifungu hivi? |
kitabu cha wanafunzi uk.
-Muongozo wa mwalimu uk.7-13
-kapu maneno
-vifaa vya kidijitali
-zoezi kitabuni |
-Kutambua k.m. kwenye orodha –Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo |
|
| 4 |
SARUFI
|
Aina za
Maneno: Vivumishi
Viashiria
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya vivumishi viashiria ipasavyo ili kuvibainisha
-kutambua vivumishi viashiria katika matini mbalimbali
|
Mwanafunzi:
-aeleze maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo karibu naye, mbali naye na mbali kabisa (k.m: Kitabu hiki/hicho/kile)
-atambue vivumishi viashiria (k.v. huyu, huyo, yule, hivi, hivyo, vile) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno ili kukuza hamu ya ujifunzaji
-atambue vivumishi viashiria katika sentensi
-atambue vivumishi katika kifungu |
Ni maneno gani unayoweza kutumia kuonyesha umbali wa mtu au kitu? |
kitabu cha wanafunzi uk.
-Muongozo wa mwalimu uk.7-13
-kapu maneno
-vifaa vya kidijitali
-zoezi kitabuni |
-Kutambua k.m. kwenye orodha –Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo |
|
| 5 |
1 |
SARUFI
|
Aina za
Maneno: Vivumishi
Viashiria
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanfunzi aweze:
-kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi
-kufurahia kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno. |
-aandike sentensi akitumia vivumishi lengwa kwa usahihi wakiwa wawiliwawili au kikundi
-ajaze mapengo kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa
-atunge sentensi sahihi au vifungu vya maneno katika kifaa cha kidijitali akitumia vivumishi lengwa. |
Je unaweza kuvitambua vivumishi vya Viashiria katika vifungu hivi? |
kitabu cha wanafunzi uk.
-Muongozo wa mwalimu uk.7-13
-kapu maneno
-vifaa vya kidijitali
-zoezi kitabuni |
-Kutambua k.m. kwenye orodha –Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo |
|
| |
MICHEZO |
|
| 2 |
KUSIKILIZA NA
KUZUNGUMZA
|
Maamkuzi na Maagano
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kujadili umuhimu maamkuzi na maagano katika mawasiliano
-kujadili maamkuzi na maagano yanayotumika katika miktadha mbalimbali
|
Mwanafunzi:
-ajadili na wenzake umuhimu wa maamkuzi na maagano
-atambue maamkuzi mbalimbali na maagano mbalimbali. kutoka kwenye chati, ubao, michoro, picha au vifaa vya kidijitali
-ashirikiane na mwenzake kujadili maamkuzi na maagano yanayolengwa na matumizi yake
-apewe orodha ya maamkuzi na maagano ili kuyaambatanisha na majibu sahihi kwenye tarakilishi au kitabu |
-Kwa nini watu huamkuana?
|
kitabu cha wanafunzi uk. 16-19
-Muongozo wa mwalimu uk.14
-chati
-picha mbalimbali
-video fupi |
-Maswali ya kauli
– Kutambua k.m. kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno
|
|
| 3 |
KUSIKILIZA NA
KUZUNGUMZA
|
Maamkuzi na Maagano
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanfunzi aweze:
-kutumia aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano
-kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano. |
-ashirikiane na wenzake kuigiza maamkuzi na maagano lengwa na kuheshimu nafasi ya kila mmoja katika maigizo haya
-ahusishe mzazi au mlezi wake kutambua maamkuzi na maagano yanayotumiwa katika jamii yake |
-Kuagana kuna umuhimu gani?
|
kitabu cha wanafunzi uk.16-19
-Muongozo wa mwalimu uk.15
-picha mbalimbali
-video fupi |
-Maswali ya kauli
– Kutambua k.m. kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno
|
|
| 4 |
KUSOMA |
-Kusoma kwa Kina: Matumizi ya
Kamusi
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kutambua maana,
tahajia, ngeli na aina za maneno kwa kutumia kamusi
|
Mwanafunzi:
-ashiriki katika mjadala na wenzake kuhusu jinsi ya kutumia kamusi kutambua maana, tahajia, ngeli, aina za maneno na maana za maneno hayo
-asikilize msamiati wa suala lengwa ukisomwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au katika kifaa cha kidijitali na kutambua tahajia yake kwa kutumia kamusi akiwa peke yake au katika kikundi
-achague maneno kutoka kapu maneno, , kadi maneno au kifaa cha kidijitali na kutambua ngeli, aina na maana za maneno hayo kwa kurejelea kamusi akiwa peke yake au katika kikundi. |
-Unatafutaje maana ya maneno kwenye kamusi?
|
kitabu cha wanafunzi uk19-22.
-Muongozo wa mwalimu uk.17
-makala kitabuni
-vifaa vya kidijitali
-kamusi
-Kadi maneno |
-Kutunga sentensi
-kuuliza na kujibu maswali ya kauli
-zoezi la kimaandishi |
|
| 6 |
1 |
KUSOMA |
-Kusoma kwa Kina: Matumizi ya
Kamusi
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanfunzi aweze:
-kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno mageni yaliyo katika matini aliyosoma ili kukuza msamiati wake
-kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati na sarufi ya Kiswahili. |
-atumie kamusi kutafuta maana za maneno mbalimbali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
-atumie mtandao kutafuta maana za maneno
-atumie mtandao kusikiliza na kusoma maelezo kuhusu msamiati anaotafutia maana |
-Kwa nini tunatumia kamusi?
|
kitabu cha wanafunzi uk. 19-22
-Muongozo wa mwalimu uk.18
-makala kitabuni
-vifaa vya kidijitali
-kamusi
-Kadi maneno |
-Kutunga sentensi
-kuuliza na kujibu maswali ya kauli
-zoezi la kimaandishi |
|
| 2 |
KUANDIKA |
Insha ya
Masimulizi
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kueleza muundo na mtindo wa uandishi wa isha ya masimulizi
-kubainisha vidokezo vya kutumia katika kuandika insha ya masimulizi
|
Mwanafunzi:
-ashirikiane na wenzake katika vikundi ili kubainisha na kujadili vidokezo vifaavyo vya mada lengwa
-ashirikiane na wenzake kujadili mada na muundo wa insha ya masimulizi na kukuza umilisi wa mawasiliano na ushirikiano
-atambue insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi |
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi? |
kitabu cha wanafunzi uk. 22-24
-Muongozo wa mwalimu uk.19
-maelezo kitabuni
-insha zilizoandikwa kwenya matini |
-Kuandika tungo mbalimbali -Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
| 3 |
KUANDIKA |
Insha ya
Masimulizi |
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanfunzi aweze:
-kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia mtindo na muundo wake
-kuchangamkia utunzi wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu. |
-aandike insha isiyopungua maneno 200 inayosimulia kisa cha tukio linalohusiana na michezo kwa kuzingatia ubunifu
-awasomee wenzake insha
aliyoandika ili kuitathmini. |
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi? |
kitabu cha wanafunzi uk. 22-24
-Muongozo wa mwalimu uk. 20
–maelezo kitabun |
-Kuandika tungo mbalimbali -Wanafunzi kufanyiana tathmini |
|
| 4 |
SARUFI |
Aina za Maneno:
Vivumishi vya
Idadi
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya vivumishi vya idadi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi
-kutambua vivumishi
vya idadi katika matini |
Mwanafunzi:
-atambue vivumishi vya idadi katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno.
-atambue vivumishi vya idadi katika sentensi
-atambue vivumishi vya idadi katika kifungu
|
Ni maneno gani unayotumia kutajia idadi ya vitu? |
kitabu cha wanafunzi uk24-26.
-Muongozo wa mwalimu uk.21
-kapu maneno
-vifaa vya kidijitali |
-Kutambua k.m. kwenye orodha –Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo |
|
| 7 |
1 |
SARUFI |
Aina za Maneno:
Vivumishi vya
Idadi
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanfunzi aweze: -kutumia vivumishi vya idadi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi
-kufurahia kutumia vivumishi vya idadi katika sentensi au vifungu vya maneno. |
-aeleze maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo katika mazingira yao -aandike sentensi akitumia vivumishi lengwa kwa usahihi wakiwa wawiliwawili au katika kikundi
-atunge sentensi sahihi au vifungu vya maneno akitumia vivumishi lengwa. |
Ni maneno gani unayotumia kutajia idadi ya vitu? |
kitabu cha wanafunzi uk24-26.
-Muongozo wa mwalimu uk.21
-kapu maneno
-vifaa vya kidijitali
-zoezi kitabuni |
-Kutambua k.m. kwenye orodha –Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo |
|
| 2 |
SARUFI |
Aina za
Maneno: Vivumishi
Viulizi
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya
vivumishi viulizi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi
-kutambua vivumishi
viulizi katika matini
|
Mwanafunzi:
-ashirikiane na wenzake kueleza maana ya vivumishi viulizi
-atambue vivumishi viulizi (k.v. –pi? gani?) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno
atambue vivumishi viulizi katika sentensi
-atambue vivumishi viulizi katika kifungu kifupi |
Ni maneno gani unayotumia kuulizia swali? |
kitabu cha wanafunzi uk26-28.
-Muongozo wa mwalimu uk.23
-kapu maneno
-vifaa vya kidijitali
-zoezi kitabuni |
-Kutambua k.m. kwenye orodha –Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo |
|
| 3 |
Sarufi |
Aina za
Maneno: Vivumishi
Viulizi
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanfunzi aweze:
-kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi
-kufurahia kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno. |
-aeleze maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo katika mazingira yake
-ajaze mapengo kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa
-atunge sentensi sahihi au vifungu vya maneno akitumia vivumishi lengwa katika daftari lake au katika kifaa cha kidijitali |
Vivumishi viulizi hutumiwa wakati upi? |

| 8 |
|
TATHMINI YA MASOMO
LIKIZO FUPI |
|
|
| 9 |
1 |
SARUFI |
Aina za Maneno:
Kivumishi
Kirejeshi
(amba-)
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kueleza matumizi ya kivumishi kirejeshi amba- ili kuyabainisha
-kutambua kivumishi kirejeshi amba- katik matini |
Mwanafunzi:
-ashirikiane na wenzake kueleza matumizi ya kivumishi kirejeshi amba– ipasavyo
-atambue kivumishi kirejeshi amba- katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno, sentensi, kifungu |
Je, unakumbuka aina gani za vivumishi? |
kitabu cha wanafunzi uk. 28-30
-Muongozo wa mwalimu uk.25
-kapu maneno
-vifaa vya kidijitali
-zoezi kitabuni |
-Kutambua k.m. kwenye orodha –Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo |
|
| 2 |
SARUFI |
Aina za Maneno:
Kivumishi
Kirejeshi
(amba-)
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kutumia kivumishi kirejeshi amba- katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi
-kufurahia kutumia kivumishi kirejeshi amba- katika sentensi au vifungu vya maneno. |
-aeleze maana ya kivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo katika mazingira yake
-aandike sentensi akitumia kivumishi lengwa kwa usahihi wakiwa wawiliwawili au kikundi
-ajaze mapengo kwenye sentensi au vifungu vya |
Je, unakumbuka aina gani za vivumishi? |
kitabu cha wanafunzi uk. 28-30
-Muongozo wa mwalimu uk.25
-kapu maneno
-vifaa vya kidijitali
-zoezi kitabuni |
-Kutambua k.m. kwenye orodha –Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo |
|
| |
MAHUSIANO |
|
| 3 |
KUSIKILIZA NA
KUZUNGUMZA |
Matamshi Bora:
Vitendawili Sauti:
-d/nd -ch/sh
-j/nj -g/ng |
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kutambua vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana kimatamshi ili
kuvibainisha
-kutamka maneno yenye sauti zinazokaribiana kimatamshi katika
vitendawili ili kuyatambulisha |
Mwanafunzi:
-atambue vitendawili vyenye maneno ya sauti d/nd, ch/sh, j/nj, g/ng katika chati, ubao au vifaa vya)
-atamke maneno yenye sauti lengwa katika vitendawili
|
Je, kwa nini watu hutega na kutegua vitendawili? |
kitabu cha wanafunzi uk. 31-32
-Muongozo wa mwalimu uk.27
-uhusika wa wanafunzi
-chati iliyoandikwa maneno yenya sauti lengwa |
-Kutambua k.m. kwenye orodha –Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo |
|
| 4 |
KUSIKILIZA NA
KUZUNGUMZA |
Matamshi Bora:
Vitendawili Sauti:
-d/nd -ch/sh
-j/nj -g/ng
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kutega na kutegua vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kujenga matamshi bora
-kuchangamkia matumizi ya vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana kimatamshi kama njia ya kujenga utamkaji |
-ashiriki katika kutega na kutegua vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana wakiwa wawiliwawili au katika vikundi
-asikilize vitendawili vikitegwa na kuteguliwa kupitia vyombo vya kidijitali.
-aandike vitendawili alivyovisikiliza na kuwategea wenzake darasani ili |
Je, kwa nini watu hutega na kutegua vitendawili? |
kitabu cha wanafunzi uk. 31-32
-Muongozo wa mwalimu uk.27
uhusika wa wanafunzi
-chati iliyoandikwa maneno yenya sauti lengwa |
-Kutambua k.m. kwenye orodha –Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo |
|
| 10 |
1 |
KUSOMA |
Ufahamu:
Kifungu cha Hadithi
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kutambua msamiati wa mahusiano uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu
-kueleza maana ya msamiati lengwa ili kuubainisha
-kusoma kifungu kwa ufasaha ili kupata ujumbe
|
Mwanafunzi:
-atambue msamiati unaotumiwa kuonyesha mahusiano kati ya watu katika jamii akitumia kapu maneno, mti maneno au tarakilishi
-aeleze maana ya msamiati huu kama unavyotumiwa katika jamii wakati wa mawasiliano
-asome kifungu au mchezo mfupi kwa sauti akipishana zamu na wenzake |
Kuna umuhimu gani kusoma kuhusu mahusiano? |
kitabu cha wanafunzi uk. 32-34
-Muongozo wa mwalimu uk.28
-Kifungu cha hadithi kwenye kitabu
-Kamusi
-kadi maneno |
-Kutunga sentensi
-kuuliza na kujibu maswali ya kauli
-zoezi la kimaandishi |
|
| 2 |
KUSOMA |
Ufahamu:
Kifungu cha Hadithi
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kusoma kifungu kwa ufasaha ili kupata ujumbe
-kuonyesha uelewa wa kifungu kwa kujibu maswali na kutoa muhtasari
-kuchangamkia habari au ujumbe kwenye kifungu ili kujenga utamaduni wa usomaji. |
-asome kifungu au mchezo mfupi kwa sauti akipishana zamu na wenzake
-ajibu maswali kutokana na kifungu
-atoe muhtasari kuhusu kifungu alichosoma |
Mahusiano huimarisha vipi jamii? |
kitabu cha wanafunzi uk. 32-34
-Muongozo wa mwalimu uk.28
-Kifungu cha hadithi kwenye kitabu
-zoezi kitabuni |
-Kutunga sentensi
-kuuliza na kujibu maswali ya kauli
-zoezi la kimaandishi |
|
| 3 |
KUANDIKA |
Kuandika kwa Kutumia
Tarakilishi
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kutambua aina mbalimbali za maandishi ya tarakilishi na ishara zinazotumiwa katika maandishi ya tarakilishi
-kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa kwa kutumia maandishi mbalimbali yaliyotofautishwa katika tarakilishi
-kufurahia utumiaji wa tarakilishi katika kuandika. |
Mwanafunzi:
-atambue aina mbalimbali za maandishi ya tarakilishi akiwa peke yake, wawilwawili au katika kikundi
-ashirikiane na wenzake kutambua ishara zinazotumiwa kutofautisha maandishi akiwa pekee yake au katika kikundi
-aandike kwa ubunifu kwenye tarakilishi kifungu cha aya moja ya maneno yasiyopungua 50 kuhusu mahusiano kati ya watu katika jamii |
Je, unajua maandishi ya aina gani yanayotumika katika tarakilishi?
|
kitabu cha wanafunzi uk. 35-36
-Muongozo wa mwalimu uk.30
-maelezo kitabuni
-insha zilizoandikwa kwenya matini |
-Kuandika tungo mbalimbali -Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
| 4 |
KUANDIKA |
Kuandika kwa Kutumia
Tarakilishi |
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa kwa kutumia maandishi mbalimbali yaliyotofautishwa katika tarakilishi
-kufurahia utumiaji wa tarakilishi katika kuandika. |
-atumie kipanya kuchagua sehemu ya maandishi anayolenga kutofautisha
-atumie kipanya kuteua ishara anayotaka kutumia kutofautisha maandishi kama vile ishara ya chapa koza, italiki na kupigia mistari.
-aonyeshe ujuzi wa kidijitali kwa kuwatumia wenzake kifungu alichoandika mtandaoni ili wamtolee maoni. |
Je, unajua maandishi ya aina gani yanayotumika katika tarakilishi?
|
kitabu cha wanafunzi uk. 35-36
-Muongozo wa mwalimu uk.30
-maelezo kitabuni
-insha zilizoandikwa kwenya matini |
-Kuandika tungo mbalimbali -Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
| 11 |
1 |
SARUFI |
Aina za Maneno:
Viwakilishi vya
Nafsi
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya viwakilishi vya nafsi ili kuvitofautisha na viwakilishi vingine
-kutambua viwakilishi vya nafsi katika matini mbalimbali
|
Mwanafunzi:
-ajadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya viwakilishi vya nafsi huko akitoa mifano
-atambue viwakilishi vya nafsi
katika ubao, tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno, sentensi , kifungu kifupi |
Je, ni maneno yapi yanayotumika kuwakilisha nafsi mbalimbali? |
kitabu cha wanafunzi uk. 37-40
-Muongozo wa mwalimu uk.32
-kapu maneno
-vifaa vya kidijitali
-zoezi kitabuni |
-Kutambua k.m. kwenye orodha –Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo |
|
| 2 |
SARUFI |
Aina za Maneno:
Viwakilishi vya
Nafsi
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kutumia viwakilishi vya nafsi kwa usahihi katika sentensi
-kuonea fahari matumizi ya viwakilishi vya nafsi katika mawasiliano. |
-atumie viwakilishi vya nafsi kutunga sentensi kwenye daftari au tarakilishi
-ajaze mapengo kwa kutumia
viwakilishi vya nafsi ili kukamilisha sentensi kwenye daftari au katika tarakilishi. |
Je, ni maneno yapi yanayotumika kuwakilisha nafsi mbalimbali? |
kitabu cha wanafunzi uk. 37-40
-Muongozo wa mwalimu uk.32
-kapu maneno
-vifaa vya kidijitali
-zoezi kitabuni |
-Kutambua k.m. kwenye orodha –Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo |
|
| 3 |
SARUFI |
Aina za Maneno:
Viwakilishi Viashiria
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya viwakilishi viashiria ili kuvibainisha
-kutambua viwakilishi viashiria katika matini mbalimbali
-kutumia viwakilishi viashiria kwa usahihi katika sentensi
-kuonea fahari matumizi ya viwakilishi viashiria katika mawasiliano. |
Mwanafunzi:
-ajadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya viwakilishi viashiria huko akitoa mifano mwafaka
–atambue viwakilishi viashiria
katika ubao, tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno, sentensi , kifungu kifupi |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha umbali wa kitu? |
kitabu cha wanafunzi uk. 40-42
-Muongozo wa mwalimu uk.34
-kapu maneno
-vifaa vya kidijitali
-zoezi kitabuni |
-Kutambua k.m. kwenye orodha –Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo |
|
| 4 |
SARUFI |
Aina za Maneno:
Viwakilishi Viashiria
|
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
-kutumia viwakilishi viashiria kwa usahihi katika sentensi
-kuonea fahari matumizi ya viwakilishi viashiria katika mawasiliano. |
-atambue viwakilishi viashiria katika kifungu kifupi
-atunge sentensi akitumia viwakilishi viashiria
-ajaze mapengo kwa kutumia viwakilishi viashiria ili kukamilisha sentensi kwenye daftari au katika tarakilishi. |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha umbali wa kitu |
-kapu maneno
-vifaa vya kidijitali
-zoezi kitabuni
-kapu maneno
-vifaa vya kidijitali
-zoezi kitabuni |
-Kutambua k.m. kwenye orodha –Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo |
|
| 12 |
|
Marudio ya mada mbalimbali kuanzia mwanzoni mwa muhula |
|
| 13 |
TAHMINI YA MWISHO WA MUHULA |