GRADE 9 KISWAHILI LESSON NOTES SEKONDARI AWALI KISWAHILI GREDI YA 9 2025 1. USAFIWAMAZINGIRA 1.1. Mjadala Mjadalanimazungumzokatiyawatuwawiliauzaidiyakubadilishanamawazokuhususuala Katikamjadala,washirikihutoahoja,maoni,naushahidiilikuelezamtazamowaokuhususuala Lengolamjadalanikujengaufahamu,kubadilishanamawazo,nakutafutaufumbuziaumsimamo wa pamoja kuhusu suala linalojadiliwa. Kwasababuhii, mjadala huwa na upande wa kuunga na wa kupinga. Washirikikatikamjadalahuchukuanafasimbili:yamsikilizajina Wakatiwakusikilizanakuchangiamjadala,vipengelemuhimuvyakuzingatia ni: Kuitajabayanamadaya Kutambuakiinichamjadalanakujikitakwenyekiinihichokuanziamwanzohadi Kuzungumzakwa Kusikilizakwamakiniilikuelewavyemahojazawenzakonakutoamaoniyanayosaidia Kuwatayarikuchangiamjadalakwa Kutumiahojazenyeushahidiilikuzijengeamsingiwa Kutumialughayaheshimahasaunapopingabilakuwadhalilisha Kuthaminimaoniyawenginehatakamanitofautina Kuwatayarikusikilizahojazakozikikosolewanakuwatayarikuzijengaupyakwamsingiwa maoni ya wengine. Kuwanaushirikianomwemanawenzakoilikujenga Kuchangiamawazomapyaaumtazamompyakwenye Vipengelehivihusaidiakuwanamjadalawenyetijanakujengamawasilianomazurina Mfanowamjadala:MatumiziyaTeknolojiakatikaElimu Petero